5. AFISA KUMBUKUMBU (nafasi mbili Njombe na Iringal
a. Sifa
- Awe na shahada ya kwanza katika fani ya utunzaji na uhifadhi wa kumbukumbu (records managements & archives) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na serikali
- Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45
- Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili
- Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta na mifumo yake ya uhifadhi ~a kumbukumbu
b. Majukumu ya kazi
- Kudhibiti mifumo ya kumbukumbu, kutunza na kusimamia matumizi ya kumbukumbu za kampuni
- Kutambua na kutafuta kumbukumbu katika masijala za kampuni '
- Kudhibiti mfumo wa kumbukumbu zinazozalishwa na kompyuta, na kutunza na kusimamia matumizi yake.
- Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa.
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi hizi ni Desemba 31,2016.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa:
Mkurugenzi Mkuu,
Boimanda Modern Construction Company Ltd,
S.L.P 1491,
Iringa.
EmoticonEmoticon